Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Am good, you?How are you feeling?
Am good, you?How are you feeling?
dada yangu kumbe unajua kiingilishi.Am good, you?
Sawa, na wewe utanifundisha kikoreadada yangu kumbe unajua kiingilishi.
waonaje ukanifungulia darasa ili niepuke kudhalilika mbele ya hadhira ya wasomi?
Ndio maana bila kukaza wakishua wewe utawezea wapiHahahaa ngoja nijaribu. Ila eti kaza roho hahaha
Naona unashindwa tu kusema nataka muamala wa matunda 😂😂Naendelea vyema, ila matunda sijapata😒
umegeuka mfanya biashara ya siasa, hatoi kitu chake mpaka na yeye atimiziwe maslahi yakeSawa, na wewe utanifundisha kikorea
Nafurahi kusikia hivyo.....Naendelea vyema, ila matunda sijapata😒
😂😂😂😂😂Daaah ninge kuja PM basi. Kizuri kula na mwenzioooo
😀😀😀😀 mjomba nitumie hela ya bag sasajamani mumesha mnunulia depal mkoba na viatu vya kuendea UDSM?
nitaituma kwa mtandao wa likes pesa😀😀😀😀 mjomba nitumie hela ya bag sasa
Haha aiseeni kawaida kama mtihani wa necta mlianza na hesabu lazima kichwa kiume
Hmm afu me nitaitoaje?nitaituma kwa mtandao wa likes pesa
babu shimba atakusaidiaHmm afu me nitaitoaje?
Mtag 😂😂babu shimba atakusaidia
yule mzee hata ukimtag anakupotezea.Mtag 😂😂
😁😁 kumbe ndo maana kuna #andaeitini mmoja leo hayupo hapaMuda wa paper la Civics unakaribia.
😃😃 ukipenda muite SHIMBA YA MISAMBWANDAyule mzee hata ukimtag anakupotezea.
na usiombe awe na mzuka wa kupost makalio humu ndani, aigoooooo anakuwa hana utofauti na nyumbu