Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-11-04 (7) Home Twitter(6).png
 
Huyo pichani, nani Bro?
Brendan Rodgers, kocha wa Leicester City,, huu ni mjadala kuwa Brendan alituuzia kimeo Harry Maguire kwa mkwanja mrefu, halaf yeye akaenda kumnunua beki mwingine Caglar Soyuncu kureplace nafas ya Maguire kwa mkwanja mdogo sana €19M..

Hizo hapo juu ni statistics zao kati ya Harry Maguire na Caglar Soyuncu.
 
Aah nimeelewa Bro,

#OLE MUST GO
 
Back
Top Bottom