capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Coco, habari ya Jumatatu
Niko sawa,Coco, habari ya Jumatatu
ha ha unaweza usifike wakuambie umestaafuThat is really good Bro,
Nikifikisha umri kama wa Prof ASSAD nitakuwa nikifundisha Muziki, thats the plan.
Hahahahahhaha nisema utalia 💃💃Nashabikia Yanga,EPL nipo Man U.. Mimi ni nani?
Nasikitika kusema kuwa jina langu halipo 🙆 ngoma bado ile ileeee.natumai jina la Depal awamu hii litakuwepo.
tumechoka kelele zake humu ndani.
kabinti kadogooooo lakini kina makero kwa babu yake.
nenda chuo ukasome
![]()
Bodi ya Mkopo yatoa orodha nyingine ya majina wanufaika wa mkopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya tatu ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo yenye jumla ya wanafunzi 4785 wa mwaka wa kwanza wa masomo 2019/2020.www.mwananchi.co.tz