moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hamfai nyie mlioko kwenye system. Nchi hii mnafikiri ni yenu peke yenu. Kila mtu mbabe kwenye kitengo chake. Hovyo kabisa !!!ufike idara ya uhamiaji kesho waambie nimeacha maagizo uhojiwe uhalali wa uraia wako
Ubaharia next level wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hello Coco
😆😆😆 tulia wewe sisi ndo wataalam[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hamfai nyie mlioko kwenye system. Nchi hii mnafikiri ni yenu peke yenu. Kila mtu mbabe kwenye kitengo chake. Hovyo kabisa !!!
Hahah hatari sanaHaha amefikia kwenye hali mubashara
Hehehe lyrics on fire [emoji126]
PoaMambo?
Kiwango kimekuwa kwa kasi kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkatalunya siku hizi yupo real sana hataki tena maigizo wala kujivunga
Ubaharia next level wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashabikia Yanga,EPL nipo Man U.. Mimi ni nani?
Eti mbegu zake ni dawa[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Akijitokeza hapa na mikwara yake nazima data [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1253024
Binti MpoleNashabikia Yanga,EPL nipo Man U.. Mimi ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23] bro, huwa nakuona ile mitaa unapita kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni yuleyule ningendako aka baba wawili [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Binti anateseka sana msimu huu, ni kumuombea tu..Binti Mpole