Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
KabisaUnaitamka na tonation ya kujidai "broque"
KabisaUnaitamka na tonation ya kujidai "broque"
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume tumeumbiwa mateso japo mwingine ni uboya
Masomo yote unayotoa hapa kumbe unayaogopa maji kiasi hicho.Siku ya leo sijanywa hata glass moja. Ila night ntajitahidi kunywa ya kutosha kukata kiu tu
Maji atakuwa anayapata kwenye urojo wake. Mumuwache pulizi...[emoji16]
Wanyakyusa wamepigwa. Afadhali [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Saint anne uko wapi, njoo tushangilie ushindi[emoji23][emoji23]View attachment 1253173
Ilikua leo bro ndio tumemaliza muda sio mrefu hapa
Hatasema lolote (baya). Wapo kwenye system hawa wanajuana kamanda...Tunakusubiri uje useme lolote profesa wakati unaaga
[emoji818][emoji818][emoji818]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ufike idara ya uhamiaji kesho waambie nimeacha maagizo uhojiwe uhalali wa uraia wakoNchi yangu hii. Nina pasipoti zaidi ya miaka 20 sasa. Kimbembe sasa kimekuja kwenye kupatiwa kitambulisho cha taifa. Jamaa wanataka birth certificate ya wazazi na yangu. Enzi zetu huko mtu ulikuwa unazaliwa tu vijijini huko hakuna cha birth certificate wala nini na sijawahi kuwa nayo. Yaani hapa nakuna kichwa nifanyeje kwa sababu hata makaratasi ninayotumiaga kuombea pasipoti hayafai. Yawezekana kweli uraia wangu una utata aisee [emoji16][emoji16][emoji16]