Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siku ya leo sijanywa hata glass moja. Ila night ntajitahidi kunywa ya kutosha kukata kiu tuUnakunywa maji kidogo sana, lita moja kwa masaa 12 ?
Siku ya leo sijanywa hata glass moja. Ila night ntajitahidi kunywa ya kutosha kukata kiu tuUnakunywa maji kidogo sana, lita moja kwa masaa 12 ?
itanilazimu kufanya hivyo kuanzia kesho inshaalllah kwa faida yangu mwenyewe.Hapo ndipo unapozidi kuimarisha afya ya mwili.
Chakula, maji ya kutosha na choo.
Badaye mazoezi
leo umekunywa pombe?Dunia kwa sasa tuna magonjwa ukifikilia unaweza kunywa maji tu na matunda maana kila chakula ukifatilia unaambia kinasababisha ugonjwa Allah atunusulu.Hii ya kahawa kusababisha kansa mpya kwangu.
Maji atakuwa anayapata kwenye urojo wake. Mumuwache pulizi...[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkorea analilia maji wakati lishe yenyewe duni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unadhani angegonga kongolo na chapati tatu asubuhi angejishauri kunywa!!?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Aiseee sijawahi kunywa pombe mpendwa.leo umekunywa pombe?
Angalia sana hizi figo....Usiwe unazitesa namna hiyoSiku ya leo sijanywa hata glass moja. Ila night ntajitahidi kunywa ya kutosha kukata kiu tu
Jitahidi mpendwa kunywa maji.Siku ya leo sijanywa hata glass moja. Ila night ntajitahidi kunywa ya kutosha kukata kiu tu
kunywa maji mengi kunapelekea ujenge urafiki na chooooooo.
muda wote unafungua bomba yako
Ilikua leo bro ndio tumemaliza muda sio mrefu hapaLini br, kama leo mi nipo maeneo haya hivi sasa
Ntajitahidi. Mie mlevi wa soda na juisiJitahidi mpendwa kunywa maji.
Aah shukrani ntajitahidiAngalia sana hizi figo....Usiwe unazitesa namna hiyo
Kumbe hajastaafu aiseee