Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itakuwa imekaa kibiashara.Kama sasa hivi malaria sio deal, U.T.I ndio deal.
Utafiti mpya na wa muda mrefu umeleta kizaazaa baada ya kuonyesha kuwa ulaji wa nyama nyekundu hauna madhara makubwa kama ilivyofikiriwa hapo mwanzo.

Inavyoonekana wanasayansi nao bado wanajifunza. Ndiyo maana mimi natumia karibu kila kitu (isipokuwa pombe na sigara) kwa kiasi na kwa muda mfupi tena kwa kubadilisha badilisha. Wanasayansi hawa leo watasema hichi halafu kesho tena wanageuza kinyume chake. Leo kahawa nzuri kesho inasababisha kansa. Leo bia mbaya kesho bia ni nzuri...ali mradi vurugu tupu.

IMG-20191103-WA0003~2.jpeg
 
Dunia kwa sasa tuna magonjwa ukifikilia unaweza kunywa maji tu na matunda maana kila chakula ukifatilia unaambia kinasababisha ugonjwa Allah atunusulu.Hii ya kahawa kusababisha kansa mpya kwangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkorea analilia maji wakati lishe yenyewe duni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unadhani angegonga kongolo na chapati tatu asubuhi angejishauri kunywa!!?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu raha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkorea analilia maji wakati lishe yenyewe duni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unadhani angegonga kongolo na chapati tatu asubuhi angejishauri kunywa!!?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

kunywa maji mengi kunapelekea ujenge urafiki na chooooooo.

muda wote unafungua bomba yako
 
Back
Top Bottom