Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wenye umri mkubwa

Wavutaji wa sigara,

Watu wenye mafuta ya lijamu katika damu au wale wenye mafuta mabaya ktk damu zao.

Wenye kisukari

Wenye shinikizo la damu

Unene kupita kiasi (obesity)

Figo kushindwa kufanya kazi (chronic renal failure), moyo kushindwa kufanya kazi (heart failure).

Msongo wa mawazo

Wanywaji wa pombe kupita kiasi

Watumiaji wa madawa ya kulevya

Wale wenye upungufu wa vitamin B2, B6, B12 na folic acid.
 
DALILI ZA SHAMBULIZI LA MOYO

Maumivu makali ya ghafla kifuani ambayo husambaa kwenye taya, shingo, bega na mkono wa kushoto

Kupumua kwa shida

Kutoka jasho kwa wingi sana (diaphoresis)

Kuhisi mapigo ya moyo yanapiga haraka (palpitations)
Kichefuchefu

Kutapika

Kuchoka haraka sana

Kupoteza fahamu
 
Usinipunguzie umri wangu mkorea, mi ni mmoja kati ya wahenga wachaache hapa.
Wakati Gerd Muller anakabidhiwa Kombe la Dunia baada ya mechi ya kibabe dhidi ya Uholanzi mwaka 1974, mi tayari nipo Duniani ingawa nilikuwa mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
hongera brother kwa kugonga miaka 50.
 
Unalijua tunda liitwalo Doriani
[emoji24][emoji24] ntakula matunda yote ila sio hili lijamaa nalichukia zaidi ya Daemusin na sembe
Silipendi, hasa ile harufu yake.
FB_IMG_1557225801519.jpeg
 
Back
Top Bottom