moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
usiongee kwa nguvu idara ya uhamiaji wakiskia watamuita SYB kesho akahojiwe uhalali wa uraia wakebabu shimba yupo mkalimani wetu
Nipo yanga.
Simba siwezi kuishabikia hata iweje..isitoshe Niko mbeya.
Leo nakubali kupata maumivu
kabla hawajacheza na barcelona natamani niwaone madrid wakicheza.Walidhan kuvizia virahisi wakamuuza cr7 wakijua bale na benz wataweza kuvizia vizuri
😭😭 ntakula matunda yote ila sio hili lijamaa nalichukia zaidi ya Daemusin na sembeFAIDA ZA FENESI
Tunda hili ni tunda lililodharaulika sana na watu wanakimbilia kwenye matunda ya gharama na kusahau tunda lenye thamani kubwa kiafya huku likiwa na thamani ndogo sana kipesa.
Hahahaha..Mmmh, haya shauri yako