Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1572780059540.jpeg
 
MBEGU ZAKE

Kausha mbegu zake juani na utwange upate unga kisha uhifadhi kwa matumizi yenye faida zaidi.

1)ukichanganya na maziwa ukapaka sehemu ngozi imeharibika asubuhi na jioni kwa wiki mbili sehemu hiyo itakuwa safi.
 
4)chemsha mbegu zake kisha unywe supu yake na utafune mbegu hizo. Huondoa presha kwa mwenye presha ya kupanda
nyakati fulani udogoni zaidi tulikuwa tunatoroka madrassa then tunakwenda sokoni kwa lengo la kutafuta mbegu za fenesi baadae tunazipika

balaa siku moja tukakutana na vurugu la JKU.
ebwana weeee tulifukuzwa mpaka nikakaribia kuingia kwenye ziwa.
hahahhaaaaaaaaa niliacha kufuatana na makundi ya vijana waovu
 
Back
Top Bottom