Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wanaosema kwamba vita dhidi ya ufisadi inatakiwa isikike sauti moja tu.
Siyo kila mmoja awe na tabia ya kuibua madudu ya ufisadi.
kwa ufupi raisi wa nchi hii ni ngumu sana kumuelewa,
kuna project anazifanya unagundua yupo sahihi lakini kuna project nyengine anakosea.

yule assad angelimsaidia sana kwenye vita ya ufisadi, cha kusikitisha maazimio mengi aliyoyapendekeza yameshindwa kutekelezwa.
ndipo hapo watu wanapohoji uimara wa raisi kwenye vita ya ufisadi anayojitamba kupambana nayo bila ya uoga na unafiki
 
FB_IMG_1572779981429.jpeg
 
Back
Top Bottom