Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kwa ufupi raisi wa nchi hii ni ngumu sana kumuelewa,
kuna project anazifanya unagundua yupo sahihi lakini kuna project nyengine anakosea.

yule assad angelimsaidia sana kwenye vita ya ufisadi, cha kusikitisha maazimio mengi aliyoyapendekeza yameshindwa kutekelezwa.
ndipo hapo watu wanapohoji uimara wa raisi kwenye vita ya ufisadi anayojitamba kupambana nayo bila ya uoga na unafiki
Magu anajua kula na kipofu, vipofu bado wanadai yapo mazuri ako nayo.
Wanasubiri bado kupapasa zaidi kujua vile magu halisi yuko, wamechelewa sana kujua.
And soon, very soon uchumi wetu utakua kama wa Zimbabwe ama Ethiopia.
 
Screenshot_2019-11-03 Instagram(1).png
 
Huweza kuzuia saratani
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa pectin inayopatikana kwenye maembe huvuruga utendaji kazi wa galectin 9 ambayo hupatikana kwenye seli za saratani
 
Back
Top Bottom