Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
poa. Karibu tena jfMambo zenu
My dearest weekend inasemaje??
poa. Karibu tena jfMambo zenu
My dearest weekend inasemaje??
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana nitakaribia
ametamka mwenyewe maneno hayo.Duh!...😂😂
huyo jamaa anayekula huo msosi wote ni mwanamme wa ukweli.
Sishawishiki kumuamini kabisaa!hope ataprove wrong kwa wote wenye kuonyesha wasiwasi juu yake.
kinyume chake atakuwa ni puppet CAG kama watu wanavyomtabiria
Sio show ya mtu mmoja hiyo hapo kuna mtu tatuhuyo jamaa anayekula huo msosi wote ni mwanamme wa ukweli.
hongera kwake
kwa ufupi raisi wa nchi hii ni ngumu sana kumuelewa,Sishawishiki kumuamini kabisaa!
Teuzi za Magufuli ni mbovu tuu haziaminiki! BAhati mbaya sana CAG ni ngumu kumuondoa baada ya teuzi.
Wasiwasi wangu tunaelekea Zimbabwe.
kwenye hiyo mboga wameweka kitoweo gani?Sio show ya mtu mmoja hiyo hapo kuna mtu tatu
hii habari ni mbaya zaidi kiupande wangu kuliko kustaafu kwa CAG