Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
sina allergy naichukia tu harufu yake, nikilishika hata ninawe vipi harufu yake naiskia hata siku 3Allergies
sina allergy naichukia tu harufu yake, nikilishika hata ninawe vipi harufu yake naiskia hata siku 3Allergies
swadakta.Hii kazi inahitaji kujituma
doryani je?sina allergy naichukia tu harufu yake, nikilishika hata ninawe vipi harufu yake naiskia hata siku 3
Hahahahaa pole kwa misuko sukonyakati fulani udogoni zaidi tulikuwa tunatoroka madrassa then tunakwenda sokoni kwa lengo la kutafuta mbegu za fenesi baadae tunazipika
balaa siku moja tukakutana na vurugu la JKU.
ebwana weeee tulifukuzwa mpaka nikakaribia kuingia kwenye ziwa.
hahahhaaaaaaaaa niliacha kufuatana na makundi ya vijana waovu
Ila mama watoto atamisi jotoswadakta.
bila ya bidii utaishia kuhama hama language kama daemusin
utoto una raha na karaha.Hahahahaa pole kwa misuko suko
kivipi?Ila mama watoto atamisi joto
na lenyewe ni tunda?doryani je?
umeona eeee ndio maana moudgulf amekuwa mnywaji urojo kwa sababu ya mama watoto.
You start to resemble each other when you’re in love
Ubize mpaka mida ya wangakivipi?
ha ha ha huu ni urojo mwingine
swadakta.Ubize mpaka mida ya wanga
kama litakua jamii ya fenesi na lenyewe ntalichukia tu
basi doriani ndio harufu yake inakera sana.ha ha ha huu ni urojo mwingine
umeona eeee ndio maana moudgulf amekuwa mnywaji urojo kwa sababu ya mama watoto.
You start to resemble each other when you’re in love
huko kwenu bara kuna wapishi wa urojo au wapishi wa togwa?Nimeanza kula Urojo kitambo, hata hivyo siyo mshabiki sana,
Wife ndiye hushabikia ingawa pia ni wapenzi wa sembe.
Shuaini zao kabisa. Wengine wanaharibiwa wakiwa vyuoniutoto una raha na karaha.
huwashangaa sana wanaopotea ukubwani.
nimekaa na vijana wahuni kwa miaka mingi sana tokea sijabaleghe lakini sikuwahi kuvuta hata sigara ya makaratasi.
cha kusikitisha unalikuta jitu linavuta bangi, linakunywa pombe mnoo likiwa na akili timamu na miaka 28 juu.
ovyo kabisa