Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na ndoo lazima pia uwe na kidumu ( kindoo kidogo) ili siku ukishindwa kubeba lindoo unakibeba kidumu chako.[emoji23][emoji23]
Ukiwa timu kubwa ulaya ni vema pia uwe na timu ndogo Tanzania.
Na timu pekee ambayo angalau haitakupa presha kwa hapa Tanzania ni Simba tu[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Hahahaha..
Ila Mimi nna timu moja tu,ambayo Ni Liverpool.
Mpira upo ulaya bana,bongo hatuna chochote
 
Moud baba,kaka ake carba tusameheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liver tu inatutosha unataka kumsogeza bodaboda FC jamaniii
Ukiwa na ndoo lazima pia uwe na kidumu ( kindoo kidogo) ili siku ukishindwa kubeba lindoo unakibeba kidumu chako.[emoji23][emoji23]
Ukiwa timu kubwa ulaya ni vema pia uwe na timu ndogo Tanzania.
Na timu pekee ambayo angalau haitakupa presha kwa hapa Tanzania ni Simba tu[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
[emoji23][emoji23]
nyakati fulani udogoni zaidi tulikuwa tunatoroka madrassa then tunakwenda sokoni kwa lengo la kutafuta mbegu za fenesi baadae tunazipika

balaa siku moja tukakutana na vurugu la JKU.
ebwana weeee tulifukuzwa mpaka nikakaribia kuingia kwenye ziwa.
hahahhaaaaaaaaa niliacha kufuatana na makundi ya vijana waovu
 
Ni kweli asee, mi pia nawashangaa wanaoharibikwa ukubwani wakati utotoni tuliishi na makundi ya hatari.
utoto una raha na karaha.
huwashangaa sana wanaopotea ukubwani.
nimekaa na vijana wahuni kwa miaka mingi sana tokea sijabaleghe lakini sikuwahi kuvuta hata sigara ya makaratasi.

cha kusikitisha unalikuta jitu linavuta bangi, linakunywa pombe mnoo likiwa na akili timamu na miaka 28 juu.
ovyo kabisa
 
Togwa linapikwa karibu Tanzania bara yote, nadhani ni maeneo machache sana ambayo hawajui togwa.
Urojo aka Mix inapatikana kwa wingi mitaa ya Kariakoo tangu zamani ingawa siku hizi utaipata vichochoro vyote vya dar.
Miaka ya nyuma mpishi maarufu wa mix ni muhindi mmoja mzaliwa wa Zanzibar, aitwaye Kenge na mkewe mama Kenge.
Hawa walipatikana mtaa wa Mahiwa na Lumumba.
Wazee hao wameshatangulia mbele ya haki, lakini familia yao inaendeleze biashara hiyo.
Mtoto wake mkubwa wa kwanza anauza mix mtaa wa Alikhani Upanga na mdogo yupo kwao mtaa wa Mahiwa anaendelea na shughuli hiyo ya kifamilia
huko kwenu bara kuna wapishi wa urojo au wapishi wa togwa?
 
Mazingira yanachangia sana bro.
Mathalani Jijini Dar ukitaka kutengeneza familia yako ikae kwenye maadili mema nakushauri jiepushi kuishi Kariakoo, Magomeni, Ilala na Kinondoni.
Maeneo hayo ndiyo yanayoongoza jijini Dar kuzalisha mashoga, machangudoa na wavuta unga.
wengine husingizia mazingira.
wengine husingizia kukosa nguvu ya kujisimamia.

kwa mfano wasichana wengi wanaotoa rushwa ya ngono vyuoni hutumia hoja hii ya kukosa nguvu
 
Back
Top Bottom