Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ZitakujaNaomba faida za kula ubuyu i.e. umbea [emoji16][emoji16]
ZitakujaNaomba faida za kula ubuyu i.e. umbea [emoji16][emoji16]
Wa forex bado ana wafuasi wengi wanaomtetea. Ukitaka kumuibia mtanzania na akuone tapeli mjanja na asiumie kama umemtapeli mtafsirie vitabu vya kizungu kwa style ya gazetireeefuuuu,mpe mamifano ya kila aina ya matajiri wakubwa.Ndiyo kama yule kijana aliyeliza watu kwenye Forex karudi tena na mawazo haya haya ya kuzalisha pesa chapu chapu...
Likely hii ni pyramid scheme. Pesa zinazunguka kidogo wale wa juu wachache kwenye pyramid wanapata hizo milioni 50 ili wakazane kuleta wengine halafu ikifika mahali mzunguko unakata basi wengi wa chini wanaandika maumivu.
😁😁😁😁😁😁Mjini shule, shamba kilimo.Hello wananzengo
Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokua na tija haitapokelewa.
Give me 3 million or 4 million na nakuahidi ntakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.
Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.
When you are Man, you have to find money and more money, and more and more money, pssy, bia, starehe, zipo tu but ... MONEY, POWER. UJI ESTABLISH AS A MAN kwanza ndo mengine yafuate.
Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.
Asante na karibu for serious minded.
nimeanza kukuogopa mtani wangu.
huenda umri wako ni kuanzia miaka 33 kwenda juu.
kama ni kweli basi napaswa kupunguza utani wa kijinga dhidi yako