Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na ndoo lazima pia uwe na kidumu ( kindoo kidogo) ili siku ukishindwa kubeba lindoo unakibeba kidumu chako.[emoji23][emoji23]
Ukiwa timu kubwa ulaya ni vema pia uwe na timu ndogo Tanzania.
Na timu pekee ambayo angalau haitakupa presha kwa hapa Tanzania ni Simba tu[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Simba Hawa Hawa ambao walianza mchezo na kupigwa magoli ya kutosha licha ya kusajili viungo wapya na msemaji wao kujinadi kwa kila sifa!????
Kwa tz at least yanga naikubali...ila hata wakifungwa sawa tu maana ni mazembe.
 
Fenesi[emoji23]
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]. Akijitokeza hapa na mikwara yake nazima data [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1572692647191.jpeg
 
usiongee kwa nguvu idara ya uhamiaji wakiskia watamuita SYB kesho akahojiwe uhalali wa uraia wake
Nchi yangu hii. Nina pasipoti zaidi ya miaka 20 sasa. Kimbembe sasa kimekuja kwenye kupatiwa kitambulisho cha taifa. Jamaa wanataka birth certificate ya wazazi na yangu. Enzi zetu huko mtu ulikuwa unazaliwa tu vijijini huko hakuna cha birth certificate wala nini na sijawahi kuwa nayo. Yaani hapa nakuna kichwa nifanyeje kwa sababu hata makaratasi ninayotumiaga kuombea pasipoti hayafai. Yawezekana kweli uraia wangu una utata aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Speak for yourself sir. Huwa sipendi watu wanaojidharau na kujiona kuwa wameshashindwa. Ukiwa na mentality ya aina hii maisha yatakunyorosha sana. Kwa taarifa yako humu kuna watu wa kila aina ...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni kweli mkuu samahani kwa kujumuisha ninyi nyote. Nilikua namaanisha mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom