Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema kabisa bro. Tumshukuru Mungu bro...Binti anateseka sana msimu huu, ni kumuombea tu..
Weekend yako inaishaje huko bro?
Huku kwema kabisa bro. Tumshukuru Mungu bro...Binti anateseka sana msimu huu, ni kumuombea tu..
Weekend yako inaishaje huko bro?
Mungu ni mwema bro[emoji120][emoji120]Huku kwema kabisa bro. Tumshukuru Mungu bro...
Bro mjini hapa nenda pale getini ofisin za nida unazotaka kujisajili ongea na mlinzi mbona utapata ujanja mzuri tu. Kuna wengine wanapata wanasheria anapigiwa muhuri kwa 10000 fomu inakubaliwaNchi yangu hii. Nina pasipoti zaidi ya miaka 20 sasa. Kimbembe sasa kimekuja kwenye kupatiwa kitambulisho cha taifa. Jamaa wanataka birth certificate ya wazazi na yangu. Enzi zetu huko mtu ulikuwa unazaliwa tu vijijini huko hakuna cha birth certificate wala nini na sijawahi kuwa nayo. Yaani hapa nakuna kichwa nifanyeje kwa sababu hata makaratasi ninayotumiaga kuombea pasipoti hayafai. Yawezekana kweli uraia wangu una utata aisee [emoji16][emoji16][emoji16]