myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:23
Haha amefikia kwenye hali mubasharaWivu tena? Namtakia kila la kheri kwenye safari yake[emoji120]
Naanzaje kupata wivu ili hali napata malyrics moto moto kama hayaView attachment 1252586
Shikamoo10:23
Nafurahi kusikia hivo. Mbali na kukumisi mimi pia nipo sawa.
Nitakuwa nakusubiri[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nilikukosa pia sana B'Doll. Nafurahi upo hapa tena.
Nitakuja kwako badae.
😂😂😂😂 Mkatalunya siku hizi yupo real sana hataki tena maigizo wala kujivungaHahaha bro, ndio umefikia huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Wivu tena? Namtakia kila la kheri kwenye safari yake[emoji120]
Naanzaje kupata wivu ili hali napata malyrics moto moto kama hayaView attachment 1252586
hajui kuandikaHuyu mkwepu jr yeye anatoa likes tu... sio poa bana. Changia
nitachangia penseli na kiwembe cha kuchongea.tupitishe bakuli la mchango humu ili mkwepu jr apelekwe hata MEMKWA ajifunze kuandika aweze kuchangia