capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Its supposed to be learned step by step. Pengine mwl hakua mzuri.nilijifunza zamani it was terrible, macho yaangalie kwenye kitabu, vidole vipapase keys na usikosee
kwa sasa mimi ni pianist mzuri sana, shida mwanzoni ilikua kusoma sauti zote nne kwenye kitabu at the same time kupiga keys, haikua kazi nyepesiIts supposed to be learned step by step. Pengine mwl hakua mzuri.
Unaendeleaje sasa?
That is really good Bro,kwa sasa mimi ni pianist mzuri sana, shida mwanzoni ilikua kusoma sauti zote nne kwenye kitabu at the same time kupiga keys, haikua kazi nyepesi
Fav. People make the place Fav.