D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ahsante sana.Haha ukiwa tayari utafika tu.
Life has no limitations except the ones you make.
"Alikorofishana" na bosi wake [emoji16][emoji16]
Teh kwamba umeelewa hilo tuHehehe nimeona neno sunbae peke yake
Kwa hiyo hutaki kunifundisha?hilo sharti la kujifunza kikorea naomba uondoe.
biashara ya nipe nikupe bado siiwezi kwa sasa.Kwa hiyo hutaki kunifundisha?
Kwangu ni muhimu, si unajua lakinibiashara ya nipe nikupe bado siiwezi kwa sasa.
kikorea hakijawa na umuhimu zaidi kwenye dunia yetu
Mkuu upo.Uhuru pia ni dikteta (uchwara)?
Si ndiye mpenda uhuru na mfano wa kuigwa kwa viongozi katika huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki? Au wanaongelea economic dictatorship?
kiswahili kinakera sana baadhi ya nyakati.si unajua lakini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua kuwa kikorea ni muhimu sana kwangukiswahili kinakera sana baadhi ya nyakati.
hapo umemaanisha nini?
- najua kikorea?
- au wewe unaipa umuhimu sana lugha ya korea?
ngoja wenyewe waje wakiambatana na yule mjukuu wako kutoka mbeyaYANGA WAMEKATA RUFAA CAF SABABU:SIMBA WALIKUWA WANAFUNGWA 5 WANAENDELEA VYURA KAPIGWA 3 KATOLEWA [emoji23][emoji23][emoji23]
anza wewe kunifundisha miezi mitatu then nitafuata mimi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua kuwa kikorea ni muhimu sana kwangu
Kwanini mkuu?ahsante sana.
hivi una undugu na babu shimba?
Jinsi ya kukimbia msalaanza wewe kunifundisha miezi mitatu then nitafuata mimi
Alaaa, mbona kama hutaki vile kunifundishaanza wewe kunifundisha miezi mitatu then nitafuata mimi
uwezo wako wa kufikiri unalingana kidogo na huyo muhuni kutoka usukumani wasikopatikana wanawake wenye makalio makubwa ndio maana amekuwa limbukeni.Kwanini mkuu?
Hahaha,embu niache Jamani...naona pepa la Math lishakugaragaza ππππNaona unashindwa tu kusema nataka muamala wa matunda ππ
mbona sharti ni jepesi mnoooo.Alaaa, mbona kama hutaki vile kunifundisha
Basi sikufundishimbona sharti ni jepesi mnoooo.
anza wewe then nitafuata mimi.
haiwezekani leo tusome ingilishiiii baadae kesho tusome hanguliiiiiiiiii.