Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kubisha hujui ila unajua kunyima watu raha jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah daah kumbe ka ben ten banaMmh! Asante
moon amechoka sanaMuweke basi chae won wangu
Ni wivu tu.babu shimba ameshaanza kuweka visingizio vya kitoto.
eti anadai hawezi kugombana na wananchi waliozaliwa mbeya
πππ huyu Mkwepu umejuaje kwamba ni team City?Yegomasika Davet Bradha The Happiness mkwepu jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
anakuogopaaaaa jitu zima na mindevu yakeNi wivu tu.
Ni dalili ya kushindwa [emoji1787]
Mbona kuguna....nitaomba kamoja kakuchomaπMmh! Asante
Karibu sana ila mimi huwa sina maneno mengi naomba siku hiyo ukaangalie mechiHuyu Davet wiki ijayo nitakuwa naye[emoji23][emoji23]
Ananiogopa Mimi ambaye hata kwenye kiganja chake sienei[emoji1787][emoji1787]anakuogopaaaaa jitu zima na mindevu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namchokoza ila akomentπππ huyu Mkwepu umejuaje kwamba ni team City?
Ni wivu tu.
Ni dalili ya kushindwa [emoji1787]
Niangalie huku matokeo ninayo tayari?[emoji1787]Karibu sana ila mimi huwa sina maneno mengi naomba siku hiyo ukaangalie mechi
simba mwenda pole.Huyu Bradha mbona mpole Sana[emoji23].
Nitamuonea Bure[emoji1787]
Ni wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].