D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
anaweza kukurushia ngumi kwa njia ya keyboardKubishana na mtu asiyefahamu soka kazi sana
anaweza kukurushia ngumi kwa njia ya keyboardKubishana na mtu asiyefahamu soka kazi sana
Mbappe akiangukia madrid kuna mawili moja mafanikio mbili anguko lake.Of course Mbappe is doing great pia anaweza kujitahidi tahidi kusogelea japo geti la hao majamaa
Muweke basi chae won wangu
- khantwe
- moon chae won: sijuo nimeandika sahihi
Kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi huwa nagawa vinywaji tukishinda na leso tukifungwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mziki wa huyu bidada hizo picha zitakuwa nzito kuliko ukuta wa berlin
Najua kidogo jamani [emoji23][emoji23]Kubishana na mtu asiyefahamu soka kazi sana
huyo ndio mama man city wa humu ndaniKumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]anaweza kukurushia ngumi kwa njia ya keyboard
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitajie wachezaji wanne maarufu pale liverNajua kidogo jamani [emoji23][emoji23]
Mwenyewe tu alipishana na muda yaani Muda Barca wanamuhitaji kama unakumbuka alileta pozi na dharau hivyo aliwakera waanazi wa Barca wakamfugia chuki, muda kalegeza na kujileta watu walishamkunjia Roho kitambo ndio maana ata hakukua na utambulisho wake.Griez angebaki tu atleko kwanza hapo tayari ana world kap angerithika tu na hilo kombe kuliko kujipeleka asipotakiwa kisa kikombe cha la liga na ucl
Nawasalimu wapinzani wote wa liver[emoji137]huyo ndio mama man city wa humu ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitajie wachezaji wanne maarufu pale liver
Kweli kubisha hujui ila unajua kunyima watu raha jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usimsikilize SYB..
Kwanza Mimi hata kubishana sijui[emoji1787]
babu shimba ameshaanza kuweka visingizio vya kitoto.Nawasalimu wapinzani wote wa liver[emoji137]
Mmh! AsanteUko vizuri, hongeraa...