Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siulimsikia juzi Pique anasema chaguo lilikua ni Neymar yani walikua tayari wakatwe posho zao ili jamaa atue Katalunya lakini PSG walikunja, Coutinho alikua low sana naona ndio wakaingia mkenge kwa Griez
barcelona bado wana nguvu sana kwenye soko la usajili, unamkosa neymar basi japo dyabala anafaa.
yule griezmann ameregea sana
 
sisi wakorea tunakula mboga ya bangiiiii

1572880559781.png
 
bishoo sana.
mchezaji kama yule hawezi kubadilisha matokeo dhidi ya watemi kama liver na juve.
ina maana utegemezi wa messi utaendelea kuwepo.
angelikuwepo neymar au mfano sadio mane hali ingelikuwa tofauti kabisa
Na Barca wanahitaji mbadala wa M10 kwa sasa umri unakimbia sana bila kufanya hivyo watapata tabu siku za usoni, Neymar ni mtu sahihi sana pia na mbadala wa Suarez unahitajika sasa
 
Na Barca wanahitaji mbadala wa M10 kwa sasa umri unakimbia sana bila kufanya hivyo watapata tabu siku za usoni, Neymar ni mtu sahihi sana pia na mbadala wa Suarez unahitajika sasa
neymar ana miaka 28 halafu mwili ameuachia sana jambo linalomfanya apate majeruhi ovyo.
mbadala wa messi na ronaldo hapa duniani hawapo
 
Back
Top Bottom