D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kumbe mtoto sana wewe muhuni kutoka katalunya.Nikweli bro...
kuanzia leo unipe heshima ya baba
kumbe mtoto sana wewe muhuni kutoka katalunya.Nikweli bro...
[emoji23][emoji23][emoji23]Boy: *calls 911* Hello? I need your help!
911: Alright, What is it?
Boy: Two girls are fighting over me!
911: So what's your emergency?
Boy: The ugly one is winning.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi avatar huwa unabadili kila baada ya muda gani? Asubuhi nimekuona na mdada sijui nani yule, mchana nikakuona na Ji Chang Wook sasa hivi upo na huyo alien sijui hata nini anafanya
Ameen 🙏🙏Pole sana bro. Apumzike kwa amani mjomba huko aliko...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] 1991 ulikuwa bado hujazaliwa? You guys are real young. Mwaka huo wengine tunamalizia shahada za uzamili [emoji16][emoji16]
😂😂 wewe jamaa wewehata hii muda wowote itaondolewa.
- teh teh teh nikiwa namzuka wa kubadili avatar.
- nikiona picha ilionivutia haijalishi nimeweka avatar dakika mbili nyuma
utamkuta member anakaa na avatar kwa muda mrefu zaidi kama makalio yake
nimeuza sungura wangu 30.S10 Lite
[emoji23][emoji23][emoji23] acha matusi we muhuni wa Seoul, niweke na mimi basihata hii muda wowote itaondolewa.
- teh teh teh nikiwa namzuka wa kubadili avatar.
- nikiona picha ilionivutia haijalishi nimeweka avatar dakika mbili nyuma
utamkuta member anakaa na avatar kwa muda mrefu zaidi kama makalio yake
mabaya sana kwa sababu sina pesa na kamari sichezi.😂😂 wewe jamaa wewe
Mambo niaje lakini?
Hahah!kumbe mtoto sana wewe muhuni kutoka katalunya.
kuanzia leo unipe heshima ya baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SYB umeelewaje hili bango, nina mashaka hujalielewa
Umemuona alivyo na akili mbili?[emoji23][emoji23] wewe jamaa wewe
Mambo niaje lakini?
Bado bei yake haijulikani kwasababu simu yenyewe bado haijaachiwa sokoninimeuza sungura wangu 30.
zinauzwa kiasi gani?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
😀😀😀 chizi huyo na hapo ameshashiba SembeUmemuona alivyo na akili mbili?
[emoji3][emoji3][emoji3] chizi huyo na hapo ameshashiba Sembe
yuleeeeee au mwengine,[emoji23][emoji23][emoji23] acha matusi we muhuni wa Seoul, niweke na mimi basi