Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Pole sana bro ila maisha lazima yaendelee...mabaya sana kwa sababu sina pesa na kamari sichezi.
barcelona kafungwa
man utd anaendelea kufungwa,
valverde hajafukuzwa.
solskjaer hajafukuzwa
Kilichonifurahisha huko La liga ni kushindwa kwa RM kuongoza ligi, pia kuhusu Valverde nasikia kuna kampeni za chini chini kuondolewa ...