Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Umeanza ππππKiungo wa kati wa England Adam Lallana, 31, analengwa na vilabu vya China na ligi kuu ya soka, huku mkataba wake na Liverpool ukielekea kumalizika. (Telegraph
Eeh! ata sisi Misumari tunaikumbuka πMfilist mzee wa VAR
Bradha bingwa wa codes
Davet kucha
Th hap wakishua
Anko mfanyabiashara bora wa maparachichi
Poti mvuvi au bwana mitumbwi
leo usiondoke mpaka bradha aje.Nipo hapa
Hahah! Kwani tofauti na yule mnyama kuna Sungura gani mwengine au ndio woga wa Code? πMnaongelea sungura gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈHahah! Kwamba unataka kuonewa huruma sasa sio?
Hahah! Kwamba unataka kuonewa huruma sasa sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mie nimelewa togwa basi naona maluwe luwe kwenye sunguraHahah! Kwani tofauti na yule mnyama kuna Sungura gani mwengine au ndio woga wa Code? π
Duh!!Mkuu wa soka wa Arsenal, Raul Sanllehi, ameripotiwa kuonekana akila chakula cha jioni na Mourinho lakini wawili hao hawajazungumza kwa miaka kadhaa.(London Evening Standard)
unaanza na maneno yako ya ajabu ajabu.Usiku wa kupeana maziwa.....
Dada kwani togwa ni nini?! Pombe ya kienyeji au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mie nimelewa togwa basi naona maluwe luwe kwenye sungura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].unaanza na maneno yako ya ajabu ajabu.
usiku huu maziwa yatapatikana wapi na ng'ombe wote wameshalala
Ee wengine wanaita mbegeDada kwani togwa ni nini?! Pombe ya kienyeji au?