Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Daah bora angebaki tu huko alipokua anaheshimiwaMwenyewe tu alipishana na muda yaani Muda Barca wanamuhitaji kama unakumbuka alileta pozi na dharau hivyo aliwakera waanazi wa Barca wakamfugia chuki, muda kalegeza na kujileta watu walishamkunjia Roho kitambo ndio maana ata hakukua na utambulisho wake.
Kwema King [emoji4][emoji4], habari za huko?Dada mtu vipi kwema?
Wacha niitunze hii siku mdogo wako kakimbia nitaitumia kumrudisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi muda huu hujataja hicho kikosi aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanne tu????
Nawajua wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani wafungwe?
Hembu acha mawazo ya kusadikika[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku poa tu kama kawaidaKwema King [emoji4][emoji4], habari za huko?
njoo nikuuzie avatar.Muweke basi chae won wangu
Haha, hongera kwake....nimepata jina jipya😂🏂Atakua kabanwa na Kichanga chake siulisikia umepata Aunt lakini ....
#SikuUkiendaUkweniUtakulaSanaKuleWapoWengiZaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana bila kukaza wakishua wewe utawezea wapi
Yeah sure, then feed me sungura please😂😂😂😂The Happiness ona hapa bila Huruma ni ngumu kufanya hivi
Duh!Unai Emery amepewa mwezi mmoja kuokoa kazi yake kama mkufunzi wa Arsenal. (Mirror)