Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anayemfuatia ni Tammy Abraham, mwenye mabao tisa aliyofunga kwenye mashuti 19 yaliyolenga goli, wakati straika supastaa, Sergio Aguero hayupo mbali, akiwa amefunga mabao tisa kutoka kwenye mashuti yake 10 yaliyolenga goli baada ya kupiga jumla ya mashuti 27.
 
Staa wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, aliyebeba kiatu hicho kwa kushea na Sadio Mane na Mohamed Salah wa Liverpool msimu uliopita, naye yupo kwenye kinyang’anyiro, ambapo hadi sasa amefunga mabao manane kutoka kwenye mashuti yake 13 yaliyolenga goli kati ya 21 aliyopiga.
 
Ligi hiyo kwa sasa imeshuhudia mechi 11, huku Liverpool ikiongoza ikiwa imekusanya pointi 31, tano zaidi ya mabingwa watetezi, Man City ipo kwenye nafasi ya pili huku Leicester ya Jamie Vardy ikiwaduwaza watu kwa kuketi kwenye nafasi ya tatu, pointi mbili nyuma ya Man City.
 
Back
Top Bottom