Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii post iheshimiwe...5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Na hii kwa tahadhari tu, sio likidole tena.10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.
Hahahahahahahaa anko banaHii post iheshimiwe...
Kuzunguka kwangu kote humu Jf kwa mwaka huu hiki ndicho cha maana nimekipata leo.
Ahsante mwaka huu unaisha lakini nimefanikiwa kupata namba ya kitambulisho cha NIDA na dawa ya kutibu tatizo la NGUVU ZA KIUME.
Baibai 2019 kwa faida [emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole kwa tatizo mpendwa 😁😁Hii post iheshimiwe...