Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hata napataga shida basi,nikipiga hata nusu na robo roho yangu kwatu na usingizi juu... [emoji3][emoji3][emoji3]Pole kwa tatizo mpendwa [emoji16][emoji16]
Supu ya pweza siiamini kabisa. Ni afadhali nitafune madude ya mbuzi kuliko kujitia gharama ya pweza.Amini unaweza kama unavyo amini nguvu ukinywa supu ya Pweza
Aiseee pole fanya mazoezi huku ukitumia dawa.Hakika.
Kila mara amekuwa mwokozi wangu, nakumbuka mwaka 2017 aliniokoa kwa mlonge... Shida umezoeleka, hakuna jipya
Anko yupo fiti ananogesha tu jukwaa kwa ucheshi na uchangamfu wakeAiseee pole fanya mazoezi huku ukitumia dawa.