Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uwezo uliomo ndani ya mwanadamu timamu ni mkubwa kuliko matatizo. Historia inaonyesha kuwa Mungu hakuumba matatizo kabla ya mwanadamu; tafsiri rahisi ni kuwa, changamoto zitokanazo na maisha ya watu ni rahisi kuzikabili na zinapokabiliwa hukuza ufahamu na kuleta maendeleo.