Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAKATI mwingine matatizo huwafanya watu wahisi mwisho wa maisha umewadia! Hushindwa kabisa kukabiliana na changamoto zinazotokana na matatizo hayo na badala yake hubaki wakilaumu wasijue cha kufanya.
We binti nakupatia namba ya binti yangu uwe unampatia kila siku neno moja moja kila unapopata nafasi,kama haya maneno. Ukiyapata haya kila mara atakuwa mtu aliejengwa kwenye msingi wa mawe,kuliko masomo ya darasani peke yake. Haya maneno yatamfanya awe imara
 
60132883-8B33-4705-95C3-F08CB45C31E6.jpeg
 
Hii post iheshimiwe...
Kuzunguka kwangu kote humu Jf kwa mwaka huu hiki ndicho cha maana nimekipata leo.
Ahsante mwaka huu unaisha lakini nimefanikiwa kupata namba ya kitambulisho cha NIDA na dawa ya kutibu tatizo la NGUVU ZA KIUME.
Baibai 2019 kwa faida [emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha ankoo

Heshima yako ankoo,kwema nyumban?
 
Back
Top Bottom