Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh aiseee.asanteWe binti nakupatia namba ya binti yangu uwe unampatia kila siku neno moja moja kila unapopata nafasi,kama haya maneno. Ukiyapata haya kila mara atakuwa mtu aliejengwa kwenye msingi wa mawe,kuliko masomo ya darasani peke yake. Haya maneno yatamfanya awe imara