Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi ni magonjwa ya moyo ama mapafu.

Wenyewe wanaita finger club/drumstick fingers.

Hizo vidole ni kama hizi??
Kuna mtu namjua ana vidole kama vile ' virungu [emoji23][emoji23]
Emu sema ni ugonjwa gani nikamwambie awai Hosp
20191106_162005.jpeg
 
Hiki kipilipili kinanihangaisha acha tu.
Nilikuwa nayo ya vitunguu thomu,nikaachana nayo

Kuna mtu kanambia steaming ya asali,hapa bado niko kwenye kikao cha maamuzi.

Ya movit sijaijaribu bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kikao cha maamuzi

Movit nzuri ka kopo kadogo bei 2000. Unaweza weka mwenyewe ukafunga na kofia ya plastic au ukaenda wekewa saluni
 
Back
Top Bottom