carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hiyo shape ya vidole si sawaKwa nini mkuu
Sio Mimi huyo Dada tuliaHizi ndo zile goli 3 alizofungwa yanga juzi?[emoji23][emoji23]
Una rangi nzuri mdada[emoji8][emoji8]
View attachment 1255672
Hivyo vya sigara ni vya saint Anne niliviiba huko JF selfika
Kuna vidole kama tangawizi
Kuna vidole kama virungu
Vya Davet ukiviona utapagawa
Naitaka Dada sasa ni swali gani ilo unauliza [emoji23]
Hiyo shape ya vidole si sawa
Kuna mtu namjua ana vidole kama vile ' virungu ππHiyo shape ya vidole si sawa
Humu humu kuna siku ilishatokea tena zig zag kama hiyo
Kimlonjo jamani me sitaki naogopaaa π[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka guu la kuombea mkopo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio Mimi huyo Dada tulia
Tatizo tunacheza mbali sanaMbona napitwa mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
Vdole kama virungu ππππ
Yan nipo nacheka sana hapa.
#hadichozi kuna kitu nimekumbuka Saint anne
Aisee
Makande na mchicha ππHahahahahahha Depal umekula nn leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema?Hizo rangi za juu ni π© au
Kuna mtu namjua ana vidole kama vile ' virungu [emoji23][emoji23]
Emu sema ni ugonjwa gani nikamwambie awai Hosp
Tatizo tunacheza mbali sana
Ndio aiseeMara nyingi ni magonjwa ya moyo ama mapafu.
Wenyewe wanaita finger club/drumstick fingers.
Hizo vidole ni kama hizi??View attachment 1255682
Kimlonjo jamani me sitaki naogopaaa [emoji85]
Pole sanaBest nywele zilikuwa ngumu kiasi kuchana ilibidi nitie maji na mafuta ya nazi kwa pamoja, unywele ulikuwa unakatika mbaya nilipomaliz kuchana ajabu kama nimekata faki pembeni na kisogoni zote zilitoka zikabaki kati tu nililia siku hiyo nilikimbilia saluni kunyoa zoteππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kikao cha maamuziHiki kipilipili kinanihangaisha acha tu.
Nilikuwa nayo ya vitunguu thomu,nikaachana nayo
Kuna mtu kanambia steaming ya asali,hapa bado niko kwenye kikao cha maamuzi.
Ya movit sijaijaribu bado