sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
Yaani wanaongea utasema wapo kibarazani wanaongea hatari tia neno usutwe pale hapafai nilivyokuona na comment yako nikasema mwenza sio mswahiliHahaa kuna mtu alinifurahisha na comment yake kule...watu wana maneno sijui wivu[emoji23] [emoji23]