Yaani wanaongea utasema wapo kibarazani wanaongea hatari tia neno usutwe pale hapafai nilivyokuona na comment yako nikasema mwenza sio mswahiliHahaa kuna mtu alinifurahisha na comment yake kule...watu wana maneno sijui wivu[emoji23] [emoji23]
kupoa ndo inakua shughuli numbisaPole jaman
leo ndio leo asemae kesho ni muongo
[emoji15] [emoji15]
UshawekewapoNatakapo mnilikepo
Halafu sijarudi tena subiri niende nikachungulieYaani wanaongea utasema wapo kibarazani wanaongea hatari tia neno usutwe pale hapafai nilivyokuona na comment yako nikasema mwenza sio mswahili
Ujui tu raha ya ubuyu uliolalaleo ndio leo asemae kesho ni muongo
KuamkaKulala
Na tenaHaya tena