carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha tu test mitambo kwanza[emoji23]
Kumbe mpo eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi haionekaniNiliifuta bhana[emoji16][emoji23][emoji23]
Usinambie bado ipo
Unafanya mazoezi miaka yote, viwanja vyote vya mechi unamiliki wewe, umefanya usajili wa vipaji vyote vikubwa. Refa, kamisaa, VAR na mashabiki wote ni wa kwako na wanakushangilia wewe, kwanini upige risasi za miguu wachezaji wa timu pinzani siku ya mechi inapokaribia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchi wa humu wanategea
Wanaonekana kwenye matukio tu[emoji23]