Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jiwe gizaniUnafanya mazoezi miaka yote, viwanja vyote vya mechi unamiliki wewe, umefanya usajili wa vipaji vyote vikubwa. Refa, kamisaa, VAR na mashabiki wote ni wa kwako na wanakushangilia wewe, kwanini upige risasi za miguu wachezaji wa timu pinzani siku ya mechi inapokaribia?
Hajahawi kuniangusha bro [emoji2][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huyu jamaa ni fundi sana kwenye hiyo sector ata mimi hajawahi kuniangusha 😀Hajahawi kuniangusha bro [emoji2]
Hata wewe upo vizuri bro 😁😁Huyu jamaa ni fundi sana kwenye hiyo sector ata mimi hajawahi kuniangusha 😀