Haya unipe mrejeshoHalafu sijarudi tena subiri niende nikachungulie
Pole sana jitahidi kunywa majiNawamiss na miss mengi but general body weakness na vi fever vya hapa na pale, but nikiwa strong nitawalike
I love youHalafu sijarudi tena subiri niende nikachungulie
Sawa Asante sammyluvPole sana jitahidi kunywa maji
Watu wana maneno kule kuna mwingine kanifanya nikumbuke MOTP kataja team rohombaya...watu wabaya sana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] angalia msije anza pigwa vita wewe na Kichwa...kwanza umemficha wapi leo?Haya unipe mrejesho
Boss Jembekillo ila kaukimbia uzi wake mwenyeweHivi humu boss nani, kuna kitu nataka nimwambie
Oooowwwhh...so sweet...sijui nijibu au nianze kucheza viduku[emoji23] [emoji23] [emoji23]I love you
Nakupa like bado unaniita mchoyo sikupi teeenaaaCole williams unazambaza likes kama dozi keep it up wengine wachoyo...!!
Pole ugua upone uje tu like humu...kula unywe na maji mengi sawa eeehhNawamiss na miss mengi but general body weakness na vi fever vya hapa na pale, but nikiwa strong nitawalike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] numbisa bhana...Nakupa like bado unaniita mchoyo sikupi teeenaaa
Anza kupiga viduku kwanzaOooowwwhh...so sweet...sijui nijibu au nianze kucheza viduku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nataman nijue ni wapi hukoYaani wanaongea utasema wapo kibarazani wanaongea hatari tia neno usutwe pale hapafai nilivyokuona na comment yako nikasema mwenza sio mswahili