Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wana maneno kule kuna mwingine kanifanya nikumbuke MOTP kataja team rohombaya...watu wabaya sana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] angalia msije anza pigwa vita wewe na Kichwa...kwanza umemficha wapi leo?
Sijamuona kabisa kichwa leo nilivyoona jana penzi limerudi kwa kasi nikajua upo nae kesho akupeleke 7 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…