Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahhhaa CHAI IMEANZA JAMAN MCHEPUKO WA CHYNA NAYE ANAJIBU MASHAMBULIZI KWA ROB..... ivi mnajua kwa Chyna ni SAVAGE as ***... aliwahi mwambia wendy williams kwamba ana P boddy... sasa naona upande wapili leo wameanza kujibu.... sipat picha CHYNA naye akijibu walai ROB akajiuwa... maana she petty and savage.. yaani... afu amber naye akiingilia maana Amber anapenda kuingilia ugomvi wa shogake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…