Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Slogan ya myoyambendi mi nilikuwa namuiga ghafla nikaona inaniingia...Slogan yako hyo mkuu,
Ugua poleee. Alafu idake hyooo
Slogan ya myoyambendi mi nilikuwa namuiga ghafla nikaona inaniingia...Slogan yako hyo mkuu,
Ugua poleee. Alafu idake hyooo
Numbisa unamkubali sana we may [emoji50][emoji50]
Leo sijui yuko zizi gani kwakwel au kafumaniwa sijuiNdio kwanza analijua neno sio huyu bwanaetu kila siku shimo jipya kama panya vile
Ukiwa na uzi wako hauhitaji kutafuta jukwaa we weka humu tu...
TrueWalimwengu wa katika uzi huu sio wa mchezo mchezo
Dah,a nashukuru sanaaaa,amepata nnAnashukuru jamani
Sikupi
Aah wapi simkubalNumbisa unamkubali sana we may [emoji50][emoji50]
Kama namuona kim atakavyo jificha chini ya blanket hahaa mana amber nae kichwa majiHahaha na kweli. Hapo patakua patamu amber rose akiingilia uwiii patachimbika
Naona leo bi shost povu linamtoka haswaaa