ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mvua mpendwa.Mpendwa why hukutokea siku ile kunywa supu vingunguti.
ndio nimekupa mfano wa kitakacho kukuta.Mpendwa unaongea na mimi au simu πππ
πππππUmenichekesha mno ππππnina wasiwasi huenda yeye ndiye aliyepewa kichapo na mpinzani wake.
ndio maana akaja kuomba dawa ya meno humu ndani.
itakuwa alikung'utwa weeeeee mpaka akajitokeza muombezi
Hehehee aiseee
mbona hao mabinti wapo vizuri ila tatizo style ya mavazi haiendani na uhalisia.
Aiseee kila uzi una comment πππππ
Shikamooππ
Hivi wanaume wa Zanji mnamjua hata ngumi inakunjwa vipiππππndio nimekupa mfano wa kitakacho kukuta.
chezea wanywa urojo na ubuyu wa bakhressa
ππHehehee aiseee
Amna hapa hapa tu sema nina siku kama nne sijagusa hicho kidude cha NotificationAiseee kila uzi una comment πππππ
Hahah! Noma sana broShikamooππ
wazanzibari hatuna sifa za kupigana ovyo kama vichaa.Hivi wanaume wa Zanji mnamjua hata ngumi inakunjwa vipiππππ