Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1572888292508.jpeg
 
Siku nikugombana na mzenji sijui itakuwaje naweza ngo'a meno yote maana nguvu hawana urojo unawalegeza mno 😁😁😁
thubutu,
utapigwa kwa maneno kwanza mpaka uchakae.
una nini bibi kizeeee unataka kushindana na mtoto wako, macho mabayaaaa kama mwanga aliyeanguka na ungo.
miguu imechoka kama spoki za baskeli.
kwendraaaaaaa
 
Back
Top Bottom