Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Massimiliano Allegri
Mwanzoni kabisa wakati Arsene Wenger anaachana na Arsenal, mashabiki wa timu hiyo walikuwa wakipiga kelele za kumtaka Allegri apewe timu. Kocha huyo wa zamani wa Juventus kwa sasa hana kazi baada ya kuachana na miamba hiyo ya Italia, alipotamba nao na kuwapa ubingwa kwa miaka mitano mfululizo.
 
1.Jose Mourinho
Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United anapewa nafasi kubwa ya kutua Arsenal kutokana na uzoefu wake kwenye Ligi Kuu England na namna alivyotamba akiwa na timu hiyo. Jose Mourinho anahaha kurejea kazini baada ya sasa kuwa hana kazi karibu mwaka mmoja, alipofukuzwa kutoka Man United, Desemba mwaka jana.
 
62aa92c403684499995d1feb25348340.jpg
 
Kilo moja ya unga wa mahindi kwa maeneo mengi inaanzia Sh1500 na Sh1600 kutoka Sh1200 katika maduka na masoko mbalimbali nchini.

Tuambie unga wa mahindi unanunua bei gani eneo lako?

😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
muhudumu ongeza maji ninyweeeeeee, muda si mrefu kuna wajinga wataanza kununua urojoooooooo
pumbavu zaoooooooo
 
Back
Top Bottom