Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Donald Trump Jr, Eric Trump na Ivanka Trump - ambao pia walikuwa wakurugenzi wa Trump Foundation - wanapaswa kupata mafunzo ya lazima kuhusu majukumu ya kuwa watendaji na wakurugenzi wa mifuko ya misaada", mwanasheria mkuu wa New York Letitia James alisema.
Kutokana na uamuzi huo wa mahakama, rais Trump ametakiwa kukiri waziwazi juu ya matumizi mabaya ya fedha za mfuko huo na kueleza kwamba wakati mwingine atazingatia masharti ya matumizi ya fedha za mfuko huo.