Cc:andjulAsante kipenzi... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123] [emoji123]
Ngoja nikimbie tangu jana nawafuatilia sijui rob atafungua account mpya!!!hahhhaa CHAI IMEANZA JAMAN MCHEPUKO WA CHYNA NAYE ANAJIBU MASHAMBULIZI KWA ROB..... ivi mnajua kwa Chyna ni SAVAGE as ****... aliwahi mwambia wendy williams kwamba ana P boddy... sasa naona upande wapili leo wameanza kujibu.... sipat picha CHYNA naye akijibu walai ROB akajiuwa... maana she petty and savage.. yaani... afu amber naye akiingilia maana Amber anapenda kuingilia ugomvi wa shogakeView attachment 536826
Numbisahali aliyo kuwa nayo rob jana wakati anapost upupu wake.. ila Rob ni boya kwani hakujua kama Chyna ni hoe.. ndio kajua leo unavo anzisha mahusiano na hoe unategemea nini.. yalimkuta Idriss kila mtu ana mwambia uyo mwanamke is nothing but a hoe.. akajiingiza kichwa kichwa.. alikuwa analia kila siku InstaView attachment 536829
Naona pamekucha tena...hahaa papuchi haitaacha wanaume salama...acha niende insta mie[emoji125] [emoji125] [emoji125]hahhhaa CHAI IMEANZA JAMAN MCHEPUKO WA CHYNA NAYE ANAJIBU MASHAMBULIZI KWA ROB..... ivi mnajua kwa Chyna ni SAVAGE as ****... aliwahi mwambia wendy williams kwamba ana P boddy... sasa naona upande wapili leo wameanza kujibu.... sipat picha CHYNA naye akijibu walai ROB akajiuwa... maana she petty and savage.. yaani... afu amber naye akiingilia maana Amber anapenda kuingilia ugomvi wa shogakeView attachment 536826
Ndio kwanza analijua neno sio huyu bwanaetu kila siku shimo jipya kama panya vileSasa hata usijali halijarudi bhana...au ndo mana ukakubali ng'ombe toka kwa yule anaeanzia na Q??
Kuna uzi unaitwa couple zisizoendana jf nenda kauoneNataman nijue ni wapi huko
Anashukuru jamaniWhat's up with all these thanks??
Hahaha na kweli. Hapo patakua patamu amber rose akiingilia uwiii patachimbikaNaona pamekucha tena...hahaa papuchi haitaacha wanaume salama...acha niende insta mie[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa wapi andjul njoo uwashe redio nataka kucheza mie[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anza kupiga viduku kwanza
Chukua Pole nyingne mkuuSickness is weakness
hali aliyo kuwa nayo rob jana wakati anapost upupu wake.. ila Rob ni boya kwani hakujua kama Chyna ni hoe.. ndio kajua leo unavo anzisha mahusiano na hoe unategemea nini.. yalimkuta Idriss kila mtu ana mwambia uyo mwanamke is nothing but a hoe.. akajiingiza kichwa kichwa.. alikuwa analia kila siku InstaView attachment 536829
Akah!naogopa kugeuzwa topicKichwa muache kama alivyo,nasubiri aje hapa muanze kujibebisha[emoji125] [emoji125]
Shukran ntaenda chunguliaKuna uzi unaitwa couple zisizoendana jf nenda kauone
SikupiNumbisa ndo umenuna..?? Sizioni likes zako....!!
Hapana sio ISS ni ISISiss ndo ISS?