Asante sana.Nakutakia siku njema ya kuzaliwa Nsamaka,Mwenye zi Mungu akutangulia katika maisha yako na kukufanyia wepesi katika magumu yote yatakayoibuka.
Asante sana.Nakutakia siku njema ya kuzaliwa Nsamaka,Mwenye zi Mungu akutangulia katika maisha yako na kukufanyia wepesi katika magumu yote yatakayoibuka.
Unaweza ukajikuta umefunguliwa kwengine kabisa halafu replies kibwenaHahaa humu hatuna hizo bhana we mwenyewe si unajua
Maarifa ya Jamii darasa la tano S/ Msingi hukukutana na hicho kitu mkuu?Historia ya fomu tu mkuu. Wenye dunia walikutana kule Berlin kugawana dhahabu na makinikia zetu. Mpaka leo hatujajikomboa!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ukhuty rlthanx for what??
TayaaaariiiiAsante kipenzi... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123] [emoji123]
Sammyluv unajua??[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaa nitaenda kuwa....hadi wakomeUnaweza ukajikuta umefunguliwa kwengine kabisa halafu replies kibwena
Welcome backAm out [emoji125][emoji125][emoji125]
Mi sijui ngoja atakupa jibu mwenyeweSammyluv unajua??
Pole shemeji nimeona post huko nyuma kuwa unaumwa.Sickness is weakness
Na uwe mwema kwako pia kesho tunafanya pati humuNawatakia usiku mwema wapenzi.
Jibu hataki kunipa ,[emoji50][emoji50][emoji50]Mi sijui ngoja atakupa jibu mwenyewe